4x4

WAJASILIAMALI 16 DAR WAKABIDDHIWA RUZUKU ZA ZAFARI WEZESHWA

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kulia) kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa  Dar es Salaam akimkabidhi Mjasiliamali, Catherine Urio Cherahani wakati wa kukabidhi ruzuku kwa wajasiliamali wa Safari Wezeshwa kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Katikati ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa  Dar es Salaam akimkabidhi Mjasiliamali, Elizabeth Chami Mashine ya kutengenezea keki inayotumia gas na umeme wakati wa kukabidhi ruzuku kwa wajasiliamali wa Safari Wezeshwa kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Katikati ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo na Ofisa mauzo wa Kanda wa TBL Victo Kavishe.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa  Dar es Salaam akimkabidhi Mjasiliamali, Christabela Lyimo Compresor ya kupakia rangi inayotumia  wakati wa kukabidhi ruzuku kwa wajasiliamali wa Safari Wezeshwa kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Katikati ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.

0 comments:

Post a Comment