4x4

BONANZA LAA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA BIA TANZANIA (TBL)

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), pamoja na ndugu zao wakishindana katika mchezo wa kuvuta kamba kwenye bonanza la kufurahi pamoja na familia zao, katika ufukwe wa Hoteli ya Kunduchi Beach,Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
  Ofisa Mnasihi wa VVU wa AMREF, Peace Kayoza (kushoto), akimchukua kipimo cha  damu Zaina Mohamed, mmoja wa wanafamilia ya TBL katika bonanza hilo.
 Mtoto wa moja ya familia ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ambaye hakufahamika jina lake akitoa shoo ya bure katika bonanza la wafanyakazi hao kufurahi pamoja na familia zao, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Meneja Uhusiano wa TBL, Editha Mushi akijadiliana jambo na viongozi wenzake wakati wa bonanza hilo.
 Ofisa wa TBL Salvatory Rweimamu (kulia) akimkabidhi zawadi mtoto wa wanafamilia ya TBL aliyeshinda mbio.
 Watoto wa familia za wafanyakazi wa TBL wakiongelea katika bwawa maalum
 Wafanyakazi wa TBL wakiwa na zawadi za fulanaz
 Meneja Usambazaji na Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kusini, James Bokela (kulia), akimkabidhi zawadi ya vifaa vya shule, mmoja wa mtoto wa wanafamilia ya TBL baada ya kushinda katika michezo wa mbio kwa watoto wa kiume bonanza la kufurahi pamoja na familia zao, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mtoto wa mmoja wa wanafamilia ya wafanyakazi wa TBL akimwaga shoo ya nguvu

0 comments:

Post a Comment