4x4

HOTUBA YA RAIS DK. MAGUFULI, WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA 33 WA JUMUIYA YA TAWALA ZA MITAA TANZANIA (ALAT), ULIOFANYIKA OKTOBA 3, 2017 KATIKA UKUMBI WA MWALIMU JULIUS NYERERE, DAR ES SALAAM

HOTUBA YA MHESHIMIWA DK. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA 33 WA JUMUIYA YA TAWALA ZA MITAA TANZANIA (ALAT), KATIKA UKUMBI WA MWALIMU JULIUS NYERERE, DAR ES SALAAM, TAREHE 03 OKTOBA, 2017 Mheshimiwa Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu           wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Gulamhafeez Mukadamu, Mwenyekiti wa ALAT na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga, Mheshimiwa Stephen Peter Mhapa, Makamu Mwenyekiti wa ALAT na Mwenyekiti...

Bashir Nkoromo

Posted in

Spread the love

SABODO: UKARIBU WANGU NA MWALIMU NYERERE ULIOKOA TAIFA

Sabodo Hayati Mwalimu Nyerere  Mwandishi Maalum Jina la mfanyabiashara maafuru hapa Tanzania, Mustafa Jaffer Sabodo, likitajwa siyo geni masikioni mwa wengi. Hii ni kutokana na mchango wake kwa jamii katika kuliondoa taifa kutoka sehemu moja ya chini kwenda juu, yaani maendeleo. Sabodo mfanyabiashara maarufu ambaye ni Mtanzania mwenye asili ya Asia amekuwa akitoa mchango kwa maendeleo ya Taifa katika nyanja mbalimbali kuanzia za uchumi, siasa, elimu, afya na maji. Mfanyabiashara huyo ambaye ni mzaliwa wa mkoani Lindi takriban...

Bashir Nkoromo

Posted in

Spread the love

HOTUBA YA MWISHO YA UZALENDO YA HAYATI MZEE KAWAWA AKISHEREHEKEA MIAKA 78

NA HAMISI SHIMYE-UPL “Historia ya Maisha yangu ni ndefu kama ilivyokwisha elezwa. Nilizaliwa Kijijini, nikasoma Kijijini na mjini na nikafanya kazi vijijini na mjini. Katika Maisha yangu yote nimetekeleza kwa nadharia na vitendo falsafa ya UMOJA Ni NGUVU. Vitendo vimejidhihirisha zaidi katika vyama vya wafanyakazi, vyama vya ushirika na katika vyama vya siasa, hususan Tanganyika African National Union (TANU) na Baadaye Chama cha Mapinduzi (CCM). Katika Utendaji kazi, nilizingatia falsafa hii ya UMOJA NI NGUVU”. Nikiwa na umri...

Bashir Nkoromo

Posted in

Spread the love

RAIS DK. MAGUFULI AMTUMBUA MKURUGENZI MTENDAJI TANESCO LEO

Na Bashur Nkoromo, Dar Rais Dk. John Magufuli, leo amemtumbua Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mhandisi Felchesmi Mramba, katika hali inayoonesha kuwa Rais amekerwa na jaribio la Tanesco kupandisha bei ya umeme kuanzia leo, Januari Mosi, 2017. Taarifa iliyotolewa leo na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, imesema, kufuatia kutenguliwa kwa uteuzi huo, Rais Magufuli amefanya 'bandika pandua' kwa kumteua Dk. Tito Esau Mwinuka kuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO. "Kabla...

Bashir Nkoromo

Posted in

Spread the love

WAJUA KWA NINI HAYATI MZEE KAWAWA ALIITWA SIMBA WA VITA WAKATI WA UHAI WAKE?

Na Hamis Shimye, UPL HAYATI Mzee Rashid Mfaume Kawawa alikuwa ni kiongozi shupavu aliyewahi kutokea, ambapo alikuwa kiongozi adhimu sana na mwenye moyo wa ajabu katika kuipigania nchi yake katika ufanyaji wa kazi mbalimbali za maendeleo. Alikuwa ni mtu asiyeogopa kazi hadharau kazi, hana makuu, hana makundi, hana majungu. Mdogo wake akifanywa mkubwa wake atafanya kazi chini yake kwa moyo wake wote, na uwezo wake wote; bila manung’uniko, na bila kinyongo. Katika TANU alikuwa akiitwa SMBA WA VITA. ...

Bashir Nkoromo

Posted in

Spread the love

MAKALA: CHAMA CHA DEMOKRASIA NA UBAKWAJI WA DEMOKRASIA HALISIA

Mathias Canal (Picha na David Mtengile CHAMA CHA DEMOKRASIA NA UBAKWAJI NA DEMOKRASIA HALISIA Na Mathias Canal Katika sehemu ya maelezo yake Raisi wa 16 wa Marekani Bw Abraham Lincoln namnukuu aliwahi kusema kuwa Demokrasia ni mfumo wa serikali ambapo wananchi wote ni sawa mbele ya sheria na wanashiriki katika kufanya maamuzi ya kitaifa juu ya masuala ya umma. Wakati mwingine wananchi hushiriki moja kwa moja - hii ina maana kwamba wao hupiga kura moja kwa moja kwenye...

Bashir Nkoromo

Posted in

Spread the love
Pages (8)1234567 »